Plot4Sale Nauza kiwanja kikubwa kilichopimwa Ulongoni "B"

Plot4Sale Nauza kiwanja kikubwa kilichopimwa Ulongoni "B"

The last don

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
1,053
Reaction score
1,232
Habari JF,Husika na kichwa cha habari hapo juu.

Nauzwa kiwanjaa kikubwa ambacho tayari kimepimwa na kuwekewa mawe
Sifa za kiwanja:

Ukubwa ni 900M² (square meter 900)
Ardhi tambalale yenye kichanga laini unaofaaa kufyatulia matofali na kujengea
Huduma zote muhimu zipo ( Maji +

Umeme +Hospital +Shule + barabara)
Barabara ya Rami kutoka City center mpaka kiwanjani.

Mji unaojengeka kwa kasi.
Bei shilingi milioni ishirini na tano( 25,000,000) Maongezi yapo kiasi
Haina udalali

Nipigie simu kwa namba 0621973591
Karibuni.

20210329_110055.jpg
20210329_110052.jpg
20210329_110037.jpg
20210329_110055.jpg
 
sisi wa Bara tusiojua mitaa nyoosha maelezo
Ulongoni si kule Gongo la Mboto km unaelekea Sungura Textile halafu unavuka reli kurudi mjini kuna daraja la mafuriko kila mwaka? kumbe Rami imefika
au Ulongoni ya Masaki
 
Chief kuna ulongoni "A" na Ulongoni "B"..huko unakokuelezea ni Ulongoni "A".
Ulongoni "B" kama unatoka town unangiliaa pale njia panda ya Segerea hadi daraja la Chuma kisha unakata barabara ya Lami inayoingia mkono wako wa kushoto ni very Quite Neighbourhood Chief.
kariibu utembelee.
 
Mimi ni kilaza kwenye maswala ya real estate naomba kueleweshwa ni viambata vipi vinafanya eneo hili kuuzwa 25M ila tunakutana na nyumba Mbagala ambazo zipo eneo lenye huduma muhimu kama zilizoorodheshwa hapa na bei ya nyumba inakua 35M.

Hoja ya jenga uza nadhani haina mashiko kwakua unakua umeuziwa na kiwanja pia.
 
Chief kuna ulongoni "A" na Ulongoni "B"..huko unakokuelezea ni Ulongoni "A".
Ulongoni "B" kama unatoka town unangiliaa pale njia panda ya Segerea hadi daraja la Chuma kisha unakata barabara ya Lami inayoingia mkono wako wa kushoto ni very Quite Neighbourhood Chief.
kariibu utembelee.
Jenga uza ni skwata halafu viwanja vyake ni kama viganja vya mikono hauwezi kupaki hata bajaji mbili ndani,wauzaji wanakudanganya na gyspsum,aluminium window ,tiles na pvc.
 
Back
Top Bottom