The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,053
- 1,232
Mkuu unakujua ulongoni au unapasikia mbona pakishua sana alafu Mkuu usifananishe pesa ya kiwanja ya Ulongoni na Masaki M25 si pesa ya kodi miezi 6M25 c bora nikanunue Masaki!
Chief kuna ulongoni "A" na Ulongoni "B"..huko unakokuelezea ni Ulongoni "A".sisi wa Bara tusiojua mitaa nyoosha maelezo
Ulongoni si kule Gongo la Mboto km unaelekea Sungura Textile halafu unavuka reli kurudi mjini kuna daraja la mafuriko kila mwaka? kumbe Rami imefika
au Ulongoni ya Masaki
Jenga uza ni skwata halafu viwanja vyake ni kama viganja vya mikono hauwezi kupaki hata bajaji mbili ndani,wauzaji wanakudanganya na gyspsum,aluminium window ,tiles na pvc.Chief kuna ulongoni "A" na Ulongoni "B"..huko unakokuelezea ni Ulongoni "A".
Ulongoni "B" kama unatoka town unangiliaa pale njia panda ya Segerea hadi daraja la Chuma kisha unakata barabara ya Lami inayoingia mkono wako wa kushoto ni very Quite Neighbourhood Chief.
kariibu utembelee.
Chief mquote Castr akuelewe vizuri.