Kipo wapi sasa Vakwavwe? Taja Eneo kilipo.
Yes unapita,ni vile vya mradi wa wizara ya ardhi.barabara zimetengenezwa mpaka kwenye kiwanja.kutoka kwenye lami ni km 4 or lessKaribu na barabara mkuu? if not kutoka barabarani unaingia ndani umbali gani? Unapita Pugu Kajiungeni?
no!siwezi kukwazika ndugu yangu. nilibahatika kuwa na viwanja viwili ,hivyo nakiuza ili nipate pesa niiongezee kujenga kwenye kiwanja kingine.mkuu cjui kwa nn najsikia kukuuliza sababu ya wewe kukiuza. Nisamehe kama nakukwaza....
no!siwezi kukwazika ndugu yangu. nilibahatika kuwa na viwanja viwili ,hivyo nakiuza ili nipate pesa niiongezee kujenga kwenye kiwanja kingine.
hivyo tu nothing else
hello wanaJAMVI,
nauza kiwanja kilichopimwa,kina hati na kinalipiwa kodi ya ardhi kama kawaida.kina advantage nyingine kwamba kipo mwishoni na kuna eneo ambalo halijapimwa na halina owner(linamilikiwa kwa kugawana na ownwer wa land ya upande wa pili),ni tambarare na maeneo haya yameanza kuendelezwa kwa kasi.
Bei ni 10M hakipunguzwi wala hakiongezwa hata cent tano. if interested plz niPM.
KIPO BUYUNI MBELE YA PUGU SEC ILA KABLA YA CHANIKA.....SQ M 2000. ndo ukubwa wake.