Plot4Sale Nauza kiwanja kilichopimwa ( Surveyed plot for sale) kipo Mbeya - Iwambi

Plot4Sale Nauza kiwanja kilichopimwa ( Surveyed plot for sale) kipo Mbeya - Iwambi

LeGo17

Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
25
Reaction score
11
Ukubwa: Sqm 800 (hatua 20 kwa 40)

Kiwanja kipo Mbeya mjini - Iwambi, mtaa wa Mayombo.

Umiliki: Mimi ndie mmiliki (hakuna udalali)
Kiwanja ni kizuri kipo level, hakina mawe au visiki.

Bei: Tzs 10,000,000/=

NB: Kiwanja hakina mgogoro wowote.

Serious buyer : Dm

Screenshot_20220201-004307_2.jpg
 
Weka jina lako tunataka kufanya search kabla ya kuanza mazungumzo!! We want transparency na hatutaki kushuhulika na madalali!!
 
Weka jina lako tunataka kufanya search kabla ya kuanza mazungumzo!! We want transparency na hatutaki kushuhulika na madalali!!
Mimi ndie mmiliki, sio Dalali. Dm kwa taarifa zaidi
 
Back
Top Bottom