L LeGo17 Member Joined Mar 23, 2017 Posts 25 Reaction score 11 Mar 8, 2022 #1 Ukubwa: Sqm 800 (hatua 20 kwa 40) Kiwanja kipo Mbeya mjini - Iwambi, mtaa wa Mayombo. Umiliki: Mimi ndie mmiliki (hakuna udalali) Kiwanja ni kizuri kipo level, hakina mawe au visiki. Bei: Tzs 10,000,000/= NB: Kiwanja hakina mgogoro wowote. Serious buyer : Dm
Ukubwa: Sqm 800 (hatua 20 kwa 40) Kiwanja kipo Mbeya mjini - Iwambi, mtaa wa Mayombo. Umiliki: Mimi ndie mmiliki (hakuna udalali) Kiwanja ni kizuri kipo level, hakina mawe au visiki. Bei: Tzs 10,000,000/= NB: Kiwanja hakina mgogoro wowote. Serious buyer : Dm
NetworkEngineer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,952 Reaction score 1,181 May 20, 2022 #2 Kula 7m
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,275 Reaction score 13,929 May 20, 2022 #3 Weka jina lako tunataka kufanya search kabla ya kuanza mazungumzo!! We want transparency na hatutaki kushuhulika na madalali!!
Weka jina lako tunataka kufanya search kabla ya kuanza mazungumzo!! We want transparency na hatutaki kushuhulika na madalali!!
L LeGo17 Member Joined Mar 23, 2017 Posts 25 Reaction score 11 May 20, 2022 Thread starter #4 Bulesi said: Weka jina lako tunataka kufanya search kabla ya kuanza mazungumzo!! We want transparency na hatutaki kushuhulika na madalali!! Click to expand... Mimi ndie mmiliki, sio Dalali. Dm kwa taarifa zaidi
Bulesi said: Weka jina lako tunataka kufanya search kabla ya kuanza mazungumzo!! We want transparency na hatutaki kushuhulika na madalali!! Click to expand... Mimi ndie mmiliki, sio Dalali. Dm kwa taarifa zaidi