Plot4Sale Nauza kiwanja kipo Chalinze

Plot4Sale Nauza kiwanja kipo Chalinze

Mndengereko One

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2015
Posts
340
Reaction score
243
Nauza kiwanja changu Chalinze mjini bei milioni mbili na nusu kipo kudiyembe umeme hauitaji jengo nikuvuta waya tu ukubwa wa kiwanja 20*19 mawasiliano 0656660026.
 
Andika 'umeme hauhitaji nguzo' siyo jengo.
Kama mtu hajakaa na wandengereko hatakuelewa maana ya jengo.
 
Kiwanja chenyewe kimepakana na hilo jigorofa nikikinunua si watanipiga chabo nikikata gogo??
 
Back
Top Bottom