Plot4Sale Nauza kiwanja kwa Tsh. Milioni 3

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Salam wakuu,

Nauza kiwanja chenye urefu wa mita 35 na upana mita 20.

Kimepimwa(surveyed)
Bei ni Tsh. Milioni 3
Plot number 594
Location: Morogoro, Mkundi.

Mawasialiano zaidi: WhatsApp number 0742666736

Screenshot_20230711-204703.png
 
Salam wakuu,

Nauza kiwanja chenye urefu wa mita 35 na upana mita 20.

Kimepimwa(surveyed)
Bei ni Tsh. Milioni 3
Plot number 594
Location: Morogoro, Mkundi.

Mawasialiano zaidi: WhatsApp number 0742666736

View attachment 2685533
1.Je, kiwanja ni chako wewe mwenyewe??
2.Je, Ulikipataje?
3.Je, kina hati-miliki au barua ya Toleo (Ofa)??
4.Je, umeoa au kuolewa na Je, mwenza wako umemshirikisha kikamilifu kwenye suala hili la kuuza kiwanja hicho?
5.Je, kina madai au madeni yoyote Yale ?
6.Kama unaenda Dodoma kutoka Msamvu, Je, kiwanja hiki kipo upande upi?Upande wa kushoto au upande wa Kulia??
7.Kipo Mkundi ipi hasa? Mkundi Sheli?Mkundi Mwisho au wapi hasa??
8.Je, documents zote za umiliki wa ardhi/kiwanja hiki unazo??.
9.Je, hakina mgogoro wa aina yoyote ile??Nauliza hivi kwa sababu eneo la Mkundi lina migogoro mingi sana ya ardhi katika Manispaa ya Morogoro, inaongoza kwa wingi wa migogoro ya ardhi.
10.Je, zoezi la upimaji wa ardhi ya kiwanja hicho lilifanywa na Halmashauri ya Manispaa au ulifanya wewe mwenyewe kwa upimaji binafsi??
Nasubiri majibu ya maswali yangu haya Kwanza.
 
Mkundi ipi? Umbali toka dodoma rd ni kiasi gan

John Wickizer Mulholland maswali mazuri.
1.ni changu mwenyewe
2. Nina shughulika na upimaji wa viwanja na mashamba,tuna kampuni ya upimaji, ARDHISOL T LIMITED. nimekipata kama sehemu ya malipo yangu ya upimaji na mikataba ipo.
3. Bado sijakikatia hati ila serikali nzima eneo hilo na hata ofisi ya ardhi wanaujua upimaji huo maana wao ndio walihidhinisha na kuvisajili na ndio maana nimeweka na ramani hapo ya surveying.
4. Nimeoa Mkuu,Mama Ngina wangu anafahamu,Mama yangu mzazi pia ana fahamu maana yupo hapo Mkundi.
5. Hakina madai wala madeni,ni maeneo mapya!
6. Upande wa kushoto,ule wanaokaaga Askari kwenye kibanda.
7. Mkundi mwisho kabisa, Mwenyekiti wa mtaa alikua anaitwa Musa na wajumbe wake mmoja wapo anaitwa Mama Neema.
8. Mikataba ya upimaji na ugawanaji wa viwanja ipo Mkuu. Na pia tuna ofisi na vijana hapo Morogoro ambao wqmekua wakifanya kazi ya kuuza viwanja kama marketing.
9. Hakuna mgogoro wowote.

10. Tulifanya kama kampuni kwa kupata kibali kutoka idara ya mipango miji-/Halmashauri na tukakaa pia na serikali ya mtaa na wananchi,hatua zote zilifuatawa,tulioima viwanja zaidi ya 300 na vyote vikasajiliwa na Halmashauri,ramani ambatanishi hapo juu ni sehemu tu ya kazi hiyo.
 
10. Tulifanya kama kampuni kwa kupata kibali kutoka idara ya mipango miji-/Halmashauri na tukakaa pia na serikali ya mtaa na wananchi,hatua zote zilifuatawa,tulioima viwanja zaidi ya 300 na vyote vikasajiliwa na Halmashauri,ramani ambatanishi hapo juu ni sehemu tu ya kazi hiyo
 
Swali langu halijajibiwa kikamilifu
 
Okay

Ok. Thanks.
11. Kulingana na Mchoro wa Mipangomiji, Je, kiwanja hicho kimepangiwa matumizi gani??
 
Wonderful reply. 👏👏👏👏👏
 
Back
Top Bottom