Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
Hela inatakiwa mkuuKiacheache mkuu mwakani uuze billion moja
Una mkopo vp?Hela inatakiwa mkuu
Hakuna biashara ambayo haizungumziki mkuu.Loh sqm 1 ni zaidi ya 360K, mbona ghali au location karibu na mkuu wa wilaya?
Nb. Sio mnunuzi
Hapana mkuuUna mkopo vp?
Usiuzee hvo watakulalia sana
Nimeweka namba za simu kwajili ya hiloPicha ziko wapi!
Uinunue uwanja wa 500m wewe acha usumbuufu bwana picha za nnPicha ziko wapi!
Hilo ni wazo la biashara na kiwanja kinaruhusu kufanya hivyo.Vipenzi kiwanja kinaenda jaman hata tujichange tununue tufungue club yetu jaman 😹
Tajiri anataka picha daahUinunue uwanja wa 500m wewe acha usumbuufu bwana picha za nn
Eneo linaangalia barabara kuuMkabala na makazi/ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ubungo ni Morogoro Road kama sikosei. Labda ungesema karibu na/adjacent, hata hivyo ni eneo zuri. Wenye pesa zao lazima wapanunue chap.
Wakishua mje na yule anaeenda kudai mali atoe wazo Kwa Mzee tuchukue kiwanja Wana jamii🙌🏾Hilo ni wazo la biashara na kiwanja kinaruhusu kufanya hivyo.
Tafuta mteja mkuu.Wakishua mje na yule anaeenda kudai mali atoe wazo Kwa Mzee tuchukue kiwanja Wana jamii🙌🏾
Karibu TajiriNice