Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AWEKE PICHA TUONE KAMA HICHO KIWANJA KISICHOPIMWA THAMANI YAKE IKO HIVYO?20×25 milioni 5? Hiyo sehemu inafaa kuishi kweli?
Bagamoyo unakopeshwa unalipa advance laki 6, halafu inayobaki miezi sita pamoja na hati.Milioni 5 si unapata chenye hati kabisa kigamboni na chenji inabaki
Kwa sasa serikali inataka viwanja viwe ni vya ukubwa wa kuanzia 25*25 na kuendelea chini ya hapo unahatarisha hati kuja kufutwaBagamoyo unakopeshwa unalipa advance laki 6, halafu inayobaki miezi sita pamoja na hati.
Minimum 1,200,000/-(20x20), Hii kwa Mkurunge, Kidomole kwa 1,200,000/-(20X20) kwa mkupuo unapata 20x20.
Vikawe unalipia kidogokidogo kwa miaka 3.