ludovick94
Member
- Feb 21, 2015
- 28
- 3
Nauza kiwanja mbezi mwisho. Kipo karibu na old morogoro road . Kina sqm 1280. kina hati miliki. Kipo eneo la biashara. Unaw eza kujenga soko na fremu na raman ipo kwa atakaeipenda. maji, umeme ndio pake. Bei ni Milioni 85. Maelewano yapo.
Kwa anaeweza kunipatia mteja nitampa asilimia 10.
Karibuni sana
PM ama 0659997074 (whatsapp, sms and calls)
Kwa anaeweza kunipatia mteja nitampa asilimia 10.
Karibuni sana
PM ama 0659997074 (whatsapp, sms and calls)