Nauza Kiwanja,miguu 28 kwa 22

Dar Express

Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
46
Reaction score
4
Kipo Suye Pentagaon Pembezoni mwa mlima kijenga,kuna upepo mwanana,umeme na maji.

Kimezungukwa na uzio wa majirani pande zote.

BEI INAANZIA 33M.
HAMNA DALALI.

NIPIGIE
O764291222
 
Ukienda Dar then ukaongeza milioni kumi plus iyo 33 mil unapata nyumba kali vibaya mno
 
Hiyo arusha haitoshi hata kiwanja kwanza mi namshangaa huyu bwana anauza kiwanja maeneo ya suye kwa bei rahisi hivyo.

Hivi nina hasa kinachosababisha viwanja vya Arusha kuuzwa bei mbaya ? Au hali ya hewa ndo inayodanganya watu ?
 
Arusha ardhi popote uliposimama ni mgodi wa Tanzanite.

acha urongo !!

mimi nadhan ni kasumba au sijui sababu watu wa arusha na mosh wanapenda kwao yan si wauzaji wa ardh, hvyo maeneo ya kuuza ni machache.
 
Dah suye pale pa ukweli sana,mtu akijenga gari kuna upenyo wa gari kupita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…