Plot4Sale Nauza kiwanja Mkuranga eneo la Kisemvule Machimbo

Plot4Sale Nauza kiwanja Mkuranga eneo la Kisemvule Machimbo

ikhlas

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
1,050
Reaction score
1,308
Wakuu habari zenu,

Ninauza kiwanja
- Size: Urefu FT 60 upana FT 105

- Kipo Kisemvule mtaa wa Machimbo Kidubwa, maarufu kama viwanja vya Ustadhi.

- Nyaraka nlionayo ni "Offer", kimepimwa na kipo eneo ambalo kuna nyumba nyingi sana zimeshajengwa.

- Umeme unaosambazwa na REA.

- Bei ya kiwanja ni Mil 6.5 tu. Eneo ni kubwa, pia linapakana na barabara 2. Mtu seriuos tu ani PM tuyajenge.
 
Eneo kubwa? Ft 60 kwa 105?? Hii ni mita 20 kwa 30 tu
 
Usitumbie futi mkuu, hicho kiwanja sio kabati, tuambie ni mita ngapi
 
Mbona kuna kichuguu hapo? Katikati kiongozi
 
Sibora nikatafute kiwanja msongola tena napata vitatu kwa bei hiyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kiwanja

(60ft × 105ft) = (18m × 31.5m) = 567Sq

Ni kiwanja cha kawaida tuu

Unavosema kimepimwa Registered surveryor amefika site? Vipi mawe yashapandwa

Swala la Hati kutoka wizara ya Ardhi vp

Hebu fafanua haya kwanza then tuendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom