Nauza kiwanja na matofali bei chee 2,800,000/=

Qulfayaqul

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2008
Posts
480
Reaction score
84
Jamani wana jf nimetingwa nauza kiwanja na matofali kama 580, kiwanja kina ukubwa wa 25mx20m na ninauza kwa 2,800,000/=, location: kiwanja kipo kivule kitunda ukifika Banana unashuka then unapanda magali ya kivule yanapita kitunda mpaka huko, kipo karibu na shule mbili za sekondari. Matofali nauza kwa Tshs 650 kila tofali.
Mawasilano simu namba 0713-357542
 
Vp Kiwanja peke yake unaweza ukauza?
 

Hellow,
barabara inaingia mpaka kwenye kiwanja?,
kimepimwa?
 
Vp Kiwanja peke yake unaweza ukauza?

Ni kiji plot ambacho hakijapimwa thats why ni kiwanja peke yake, umiliki wake ni ule wa kuandikishiana kwa mwenyekiti wa serikali za mitaa na nina documents zote za umiliki.
 
Hellow,
barabara inaingia mpaka kwenye kiwanja?,
kimepimwa?
Hakijapimwa kaka ila nina haki zote za kukimiliki kutoka serikali za mitaa na kipo kama mita 500 kutoka barabarani yaani katika kituo cha daladala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…