Nauza kiwanja Nyankumbu,, GEITA

Nauza kiwanja Nyankumbu,, GEITA

atusam

Member
Joined
Jan 15, 2023
Posts
6
Reaction score
6
Habari, jaman nauza kiwanja, ipo mkoa wa Geita, mtaa wa nyankumbu. Kina ukubwa wa sqm500 na kina msingi wa nyumba ya vyumba vitatu, seble, dinning na jiko. Bei ni 1.7m
Mawasiliano 0783133121
 
Back
Top Bottom