A atusam Member Joined Jan 15, 2023 Posts 6 Reaction score 6 Feb 16, 2025 #1 Habari, jaman nauza kiwanja, ipo mkoa wa Geita, mtaa wa nyankumbu. Kina ukubwa wa sqm500 na kina msingi wa nyumba ya vyumba vitatu, seble, dinning na jiko. Bei ni 1.7m Mawasiliano 0783133121
Habari, jaman nauza kiwanja, ipo mkoa wa Geita, mtaa wa nyankumbu. Kina ukubwa wa sqm500 na kina msingi wa nyumba ya vyumba vitatu, seble, dinning na jiko. Bei ni 1.7m Mawasiliano 0783133121
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Feb 17, 2025 #2 Mkuu hapo geita kakosekana kabsa wa kukichukia chap
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Feb 17, 2025 #3 Seble ndo kitu gani?
A atusam Member Joined Jan 15, 2023 Posts 6 Reaction score 6 Feb 19, 2025 Thread starter #4 Mr kenice said: Mkuu hapo geita kakosekana kabsa wa kukichukia chap Click to expand... Nafasi ya kutafuta mteja. Ndo maana tunarahisisha huku. Dunia kiganjani boss.[emoji106]
Mr kenice said: Mkuu hapo geita kakosekana kabsa wa kukichukia chap Click to expand... Nafasi ya kutafuta mteja. Ndo maana tunarahisisha huku. Dunia kiganjani boss.[emoji106]
A atusam Member Joined Jan 15, 2023 Posts 6 Reaction score 6 Feb 19, 2025 Thread starter #5 kyagata said: Seble ndo kitu gani? Click to expand... Seble ndo sebule ndo sitting room.