Lile ni eneo la biashara sio makazi,medeli ndio kuna hotel ya morena na nyingine nyingi tu,ndio kwenye maofisi ya serikali ukiwa unakuja dodoma iko upande km unaenda udom...Dodoma bei imekua kubwa kama NYC. Kweli Bongo kumeendelea
Km vp wakupe hiyo 90m ...then wao wauze kwa bei yao ...Mzigo huo wadau...hauna kona kona..niliwapa wadau wanauza viwanja wa real estate,shida yao wanakiongeza sana bei mpaka kinashindwa kuuzika,wanasema nauza bei ndogo sana sehemu ile na mimi nashida zangu siwez kuwasubiria ndio maana nimeingia front mwenyew kukitangaza..
Madalali wa bongo hawatiki kuwekeza kwa mtaji wao, ni wezi tu, wanapenda cha juu kwa kuwekeza mda wamaongezi ya simu tu
Zingatia ukubwa piaLile ni eneo la biashara sio makazi,medeli ndio kuna hotel ya morena na nyingine nyingi tu,ndio kwenye maofisi ya serikali ukiwa unakuja dodoma iko upande km unaenda udom...
Eneo hilo ndio kuna ofisi za ccm zilizotumika kumchinjia lowasa 2015
Uzuri ukija ukapaona mwenyew utaniona mimi bwege kupauza
Ni kweli nchi zetu hazina longtime strategic plan, usipo kua mwangalifu unaweza kuaua mtajiwatu waliojenga Dodoma watajuta kama wale wa Mtwara