Plot4Sale nauza kiwanja vikindu bei poa sana

Plot4Sale nauza kiwanja vikindu bei poa sana

chardonnay

Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
34
Reaction score
2
Message…
kiwanja kinaukubwa wa 50×80m kinafaa kwa makazi ya watu na huduma za maji na umeme zinapatikana barabara nzuri ya kupitika hadi kwenye eneo
piga simu kwa maelezo zaidi
0679113190
 
asante mkuu kwa kunisaidia kujibu swali langu kwa yeyote atakae hitaj atanipigia kwa namba hizo nimeandika kwenye tangazo
 
Message…
kiwanja kinaukubwa wa 50×80m kinafaa kwa makazi ya watu na huduma za maji na umeme zinapatikana barabara nzuri ya kupitika hadi kwenye eneo
piga simu kwa maelezo zaidi
0679113190
Mmmmmmm!!50*80 mita!!!haiwezi kuwa sawa labda kama ni futi!!!huo si karibia uwanja wa mpira mkuu???
 
Back
Top Bottom