Kigamboni,ukitokea Mbagala -Kongowe ni karibu kama 3-5 km.Twangoma ni wapi.....?
Juzi nilikuwa huko natafuta kiwanja - toa bei fastakipo twangoma kimepimwa medium size
watoto wa masaki utawajua tu, kuna Tuangoma, Mwanekilato, Kimbiji, Tudwi songani, Gezaulole. Hivi vyote ni vile vijiji ya ujamaa vya mwanzo enzi la mwalimu miaka ya 70 kweusi kama ulisoma history. Huku ndiyo serikali yetu imepima viwanja baada ya kuwalipa wale wakazi hela kiduchu kiduchu.Twangoma ni wapi.....?
hapana ni kweli Tuangoma viwanja vilipimwa i think 2008, na watu walipewa. sasa wengine wanauza. si utapeli.Anataka kututapeli huyu kweli kiwan ja Tgwangoma hata barabara haifiki labda kwa miguu
Duh si bora ungesema KONGOWE/Mabagala?ananisha viwanja vya mradi Tuangoma kigamboni