Nauza kiwanja chenye ukubwa mita 50*40
Kiwanja kipo umbali wa km 2 kutoka barabara kuu ya kuelekea Mbande
Kiwanja kipo eneo linaitwa Kitonga Mbagala.
Kiwanja kinauzwa kwa bei ya Tshs mil 4
Kwa mawasiliano Whatsapp/Call 0689 193883 kwa mazungumzo na ikiwa utahitaji kukiona kiwanja.