Plot4Sale Nauza Kiwanja

VIWANJA GOBA KWA AWADHI.

-Ni sehemu nzuri na ya kuvutia sana.
-Ni karibu na shule ya Castle Hill na karibu pia na sheli ya Mchigani.

-Umbali ni 600m kutoka barabara ya lami.
-Viwanja vimepimwa.
-Neighborhood yake inavutia kwa kweli.

-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Bei yake ni 50,000 kwa square meter moja.
-Ni mahali pakununua na kujenga sasa.

PIA TUNA VIWANJA
🎄 Vikindu 1.3 M
🌲Kibaha pangani 2.4M
🌳Kibaha karibu na stend ya Loliondo 4.8.m
🌿Mbweni 12M
🍀Kigamboni gezaulole 6.8 M
🌳Kigamboni Kisarawe II 8M

NJIA ZA MALIPO
Unaweza lipa cash ama ukaanza na asilimia 50 na inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi 3_6

#SITE VISIT ni KILA SIKU.
Contact:
📞 0762815104
WhatsApp 📞 wa.me/255762815104
KARIBUNI SANA 🙏
 
Hicho cha Mbweni bado kipo? Ni Mbweni ipi? Kina ukubwa gani? Kina document gani?
 
Hicho cha Mbweni bado kipo? Ni Mbweni ipi? Kina ukubwa gani? Kina document gani?
Ndio bado kipo. Ni Mbweni Gezaulole mbele ya kambi ya jeshi. Vipo vinne. Documents zipo sisi ni kampuni na hati tu nakutafutia wenyewe. 0762815104
 
Gezaulole ni upande ule wa Kiharaka? Unavuka mto Mpiji upande wa Bagamoyo au ni ule upande karibia na Hospitali ya Masista?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…