JIHADILIBAGO
New Member
- Dec 17, 2024
- 4
- 2
Shule gani Mkamba au ile shule isiyotumika? Mapinduzi hiyo... weka picha tuoneKiwanja kipo kigamboni mwasonga tulivu kina ukubwa wa sqm 480 kipo mpaka mmoja na shule majira wawili watatu wapo kiwanja ni changu mwenyewe hakina dalali nina shida na ndio maana nauza
Bei 3.2Milioni
Maongezi kidogo yapo
Cantact 0687536389
Kina nyaraka gani mkuu?Kiwanja kipo kigamboni mwasonga tulivu kina ukubwa wa sqm 480 kipo mpaka mmoja na shule majira wawili watatu wapo kiwanja ni changu mwenyewe hakina dalali nina shida na ndio maana nauza
Bei 3.2Milioni
Maongezi kidogo yapo
Cantact 0687536389
Ukipita tulivu kuna shule mpya imejengwa na inaendelea kujengwa badoShule
Kina mkataba wa mauziano mkuu kuja na mwanasheria tufanye biasharaKingekua na hati ya wizarani ingekua chap tuu ningeku unganisha na mteja
Sio mimi nnayetaka ila anayehitaji hataki mambo mengi anataka Hati ya wizara mezani yeye akafanye transfer tuu,Kina mkataba wa mauziano mkuu kuja na mwanasheria tufanye biashara
Yenye bati za pinki sio? Mana mm ndo kwangu kuleUkipita tulivu kuna shule mpya imejengwa na inaendelea kujengwa bado