INAUZWA Nauza korodani za mbuzi

ZINDAGI

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2015
Posts
1,118
Reaction score
1,430
Leo nimechinja mbuzi kama 20, na nauza korodani zake, anaetaka tuwasiliane.

Angalizo: Kw wanaume, hakikisha mwenzio yupo karibu baada ya kula hizi kokwa
 
Peleka mnadani zikaliwe na beeer!
Happy weekend!..
 
Leo nimechinja mbuzi kama 20, na nauza korodani zake, anaetaka tuwasiliane.

Angalizo: Kw wanaume, hakikisha mwenzio yupo karibu baada ya kula hizi kokwa

Mimi nilidhani unauza zako Mkuu kwani nilitaka nizifuate haraka ili zinisaidie kuvutia Wateja wangu katika ' Kajiduka ' Kangu.
 
Mkuu kwa usawa huu, zinaweza zikakukimbizia wateja wako wachache waliobakia
 
Leo nimechinja mbuzi kama 20, na nauza korodani zake, anaetaka tuwasiliane.

Angalizo: Kw wanaume, hakikisha mwenzio yupo karibu baada ya kula hizi kokwa
Zifanyie utafiti zinaweza kusaidia kupandikizwa kwa wasiokuwa na uwezo wa kuzaa.. Wengine wana 1 tu na wanapata shida kupata watoto.. Kama prince mfalme..
 
hahahahahaaa....hyo kichwa ya uzi wako daaahhh......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…