Tukubaliane sote kabisa kuwa laki si pesa.NAUZA KOROSHO JUMLA NA REJA REJA, BILA KUZUNGUSHANA WATEJA WANGU..
KGS 1 REJA NI TSHS 25,000. UTAMU NA UBORA WA HALI YA JUU KWA FAIDA YA AFYA YAKO.
Derivery kwa gharama Nafuu, Dar na mahala Popote Tanzania.
Jumla Kuanzia Kgs 10 tunaelewana Bei inapungua kwa Kadri unavyonunua kilo nyingi KARIBUNI
#CHILUMBACASHEWKERNELS
#MADEINTANGANYIKA
#DIRECTFROMTANDAHIMBAMTWARA
Sawa boss, naomba tuwasiliane 0615326654 .Nahitaji kilo moja
Huku kijijini korosho ambayo haijapangwa kwa daraja (grading) bei ya mtaani (kangomba, chomachoma) tunauza hadi 1000/-.Tukubaliane sote kabisa kuwa laki si pesa.
Yaani kgs4 ya keshewnut inauzwa laki!
Hata asali inayovunwa kwa maumivu makali haiuzwi ghali namna hii!
Kha!
Mzunguko mrefu sana na maushuru mengi, usafiri n.k.Unajua upatikanaji wa korosho upo namna gani Tanzania ?
Usije na watekaji! Nitawaumiza sana halafu utapata kesiSawa boss, naomba tuwasiliane 0615326654 .
Ahsante sana, kwa ufupi tu mimi binafsi ni Mwanasheria na Mkulima pia wa hili zao almost 10yrs sasa.Mzunguko mrefu sana na maushuru mengi, usafiri n.k.
Mna haki ya kuuza bei kubwa.
Serikali ipunguze makorokocho ya tozo, ushuru na kodi kwenye koirosho mkulima naye apate kitu cha kueleweka.
Mambo yao ya pembejeo za ruzuku pia yanatajirisha wafanyabiasha wale wakala wasambazaji pembejeo na viongozi wa AMCOS na viongozi board ya zao husika.
Huku kijijini korosho ambayo haijapangwa kwa daraja (grading) bei ya mtaani (kangomba, chomachoma) tunauza hadi 1000/-.
Mnadani chini ya AMCOS wastani 3000/- approx.
Mkulima anapata kidogo sana.
Kama siyo upumbavu wa CCM basi kilo moja ilitakiwa kuwa sh 8000 hadi 12000 tu ....watu kati ni genge la raia feki ndiyo wanao nufaika na hiyo bei, siyo wakulimaTukubaliane sote kabisa kuwa laki si pesa.
Yaani kgs4 ya keshewnut inauzwa laki!
Hata asali inayovunwa kwa maumivu makali haiuzwi ghali namna hii!
Kha!
Sana mkuu ila ni bei sana.Korosho tamu sana.
Sana mkuu ila ni bei sana.