Sikia ninaweza nisiwepo apa kila siku ndio nakuambia tuwasiliane normal yaani ukiitaji mm nakuandalia mzigo maana mm mzigo ninao wa kutosha.Si upo hapa hapa jf nitakutafuta
Kwanza mawasiliano tu na kupatana namna ya kufanya biashara.kama mtu yuko mbali unamtumiaje mzigo?
Business ni global matter ndio maana mtu Yuko vijijini anafanya biashara na dunia nzima, nimekupa mbinu za kutafuta masoko zaidi huko duniani kama ni muelewa utajiongeza mkuuSasa mm Niko masasi mtwara na ubungo plaza wapi na wapi kaka.
Business ni global matter ndio maana mtu Yuko vijijini anafanya biashara na dunia nzima, nimekupa mbinu za kutafuta masoko zaidi huko duniani kama ni muelewa utajiongeza mkuu
Haya ndiyo mambo yanayoturudisha nyuma kama taifa.mtu nakupa fursa ya namna ya kuingia sokoni wewe unaleta majibu ya hovyo hovyo namna hii.ungeweza kufuatilia ujue kama unaweza kufanya kitu.halafu kama soko lipo si unawatafuta wenzako wanakupa mzigo wewe unapeleka sokoni .Unaweza ukasahangaa bei ya kilo moja yako ikafika sh.25,000 kama ukipata soko la nje ukauza kwa dolaSasa mm Niko masasi mtwara na ubungo plaza wapi na wapi kaka.
Dubai , China korosho NI Hadi TSH. 45000 hadi 50000 kwa kilo Ile grade one kama atameet vigezo na hata hizo platform nimemuelekeza kwakua Leo niliamka vizuriHaya ndiyo mambo yanayoturudisha nyuma kama taifa.mtu nakupa fursa ya namna ya kuingia sokoni wewe unaleta majibu ya hovyo hovyo namna hii.ungeweza kufuatilia ujue kama unaweza kufanya kitu.halafu kama soko lipo si unawatafuta wenzako wanakupa mzigo wewe unapeleka sokoni .Unaweza ukasahangaa bei ya kilo moja yako ikafika sh.25,000 kama ukipata soko la nje ukauza kwa dola
Sio raisi ivyo kama unavyofikiria mwamba inaitaji uwekezaji mm namtafuta mteja atayeitaji za kuoka maswala ya pakeji ayo namwachia yeye na yeye apate hela biashara kuachiana gap.Haya ndiyo mambo yanayoturudisha nyuma kama taifa.mtu nakupa fursa ya namna ya kuingia sokoni wewe unaleta majibu ya hovyo hovyo namna hii.ungeweza kufuatilia ujue kama unaweza kufanya kitu.halafu kama soko lipo si unawatafuta wenzako wanakupa mzigo wewe unapeleka sokoni .Unaweza ukasahangaa bei ya kilo moja yako ikafika sh.25,000 kama ukipata soko la nje ukauza kwa dola
Poa poaSikia ninaweza nisiwepo apa kila siku ndio nakuambia tuwasiliane normal yaani ukiitaji mm nakuandalia mzigo maana mm mzigo ninao wa kutosha.
Mabibo vipiAta mtu atake mbichi nazo ninazo yaana na maganayake.
Ndio ww nikuuzie ukauza uko mm biashara kuachiana gap my target ni 18000 tu per kilo ninazo nyingi tu.Dubai , China korosho NI Hadi TSH. 45000 hadi 50000 kwa kilo Ile grade one kama atameet vigezo na hata hizo platform nimemuelekeza kwakua Leo niliamka vizuri
Haaaaa kochoko au ya ulaka you joke me.Mabibo vipi
Hata tangazo linakushinda sh 18000 korosho moja au gunia moja ?Mjasiliamali yoyote anayetaka korosho safi kubwakubwa ziliobanguliwa safi mimi ninaziuza kwa bei rafiki ya 18000 nipo Masasi Mtwara nicheki pm
Per kilo uwezi kumbuka kuandia vyote kaka .Tata tangazo linakushinda sh 18000 korosho moja au gonna moja ?
Picha na Bei zko wap....?Mjasiliamali yoyote anayetaka korosho safi kubwakubwa ziliobanguliwa safi mimi ninaziuza kwa bei rafiki ya 18000 nipo Masasi Mtwara nicheki pm
Hehehe!!!Haaaaa kochoko au ya ulaka you joke me.
Sawa ni iko kimasasi masasi.Waslimie hapo nanyumbuSio raisi ivyo kama unavyofikiria mwamba inaitaji uwekezaji mm namtafuta mteja atayeitaji za kuoka maswala ya pakeji ayo namwachia yeye na yeye apate hela biashara kuachiana gap.
Bei kilo moja 18000 zipo masasi mtwara.Picha na Bei zko wap....?