Nauza kuku aina ya light sussex

Nauza kuku aina ya light sussex

neema prosper

Senior Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
146
Reaction score
154
Nauza majogoo yako ishirini tu aina ya LIGHT SUSSEX yana umri wa miezi saba yana afya njema. Sababu ya kuyauza ni kwamba ninayo 40 nataka nibaki na 20 tu. bei ni elfu 20 kwa jogoo mmoja. Napatikana Dar maeneo ya Mabibo Makuburi karibu na External 0753177788. Naomba msg zaidi kwani mimi ni mwalimu muda mwingi niko darasani nitashindw kupokea simu.
 
Back
Top Bottom