Nauza kuku aina ya saso umri miez 3

Nauza kuku aina ya saso umri miez 3

Joined
May 14, 2016
Posts
97
Reaction score
57
Nauza kuku aina ya saso umri miez 3 Bei 12000 location tanga korogwe
Mikoa jiran wanakufkia ninao 85
Mawasliano
0682060425
IMG_20231209_150326_9.jpg
 
Sikukuu hii watatoka tu. Kuna milioni kasoro hapo.

Ila maisha ni upambanaji kweli. Huyo kuku elfu 12,000/= ukiambiwa fata pesa km 30 tu ndani ya dar ukienda na kurudi ukala na chakula imebaki chini ya 5,000.
 
Back
Top Bottom