Nauza kuku aina ya saso umri miez 3

Sikukuu hii watatoka tu. Kuna milioni kasoro hapo.

Ila maisha ni upambanaji kweli. Huyo kuku elfu 12,000/= ukiambiwa fata pesa km 30 tu ndani ya dar ukienda na kurudi ukala na chakula imebaki chini ya 5,000.
 
Wapo saso na tanbro Vishingo pia
Ebwana kumbe Kishingo ndiyo Sasso?

Sikukuu hii watatoka tu. Kuna milioni kasoro hapo.

Ila maisha ni upambanaji kweli. Huyo kuku elfu 12,000/= ukiambiwa fata pesa km 30 tu ndani ya dar ukienda na kurudi ukala na chakula imebaki chini ya 5,000.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…