Nauza kuku aina ya sasso

Nauza kuku aina ya sasso

man dunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,358
Reaction score
5,783
Habari wakuu.

Kuku wapo Kahama wana miezi 4 na wiki moja. Idadi wapo 150.

Bei 12000, maelewano yapo.

Simu 0755868463.

Karibuni.

20220306_183931.jpg


20220306_183824.jpg
 
Wakuu naomba taratibu za kusafirisha Kuku kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine!! Je inahitajika kobali? Kuku hawa ni kwa ajili ya biashara nataka nikawauze!!
 
Nenda ofisi ya mifugo wilaya watakupatia livestock movement permit
 
Back
Top Bottom