mkuu hao kuku wajauzwa ?? mm sijakuelewa unamaanisha nini au nikuwatoa mayai kama uliyotuonyesha hapo
Kuku wapo wengi mkuu iyo picha nmeonesha jinsi wanavyokua wakichinjwa na ayo mayai ni mteja ajue kua sio kuku feki ni orignal kuku walipo ni wazima sio waliochinjwa iyo picha ni mfanomkuu hao kuku wajauzwa ?? mm sijakuelewa unamaanisha nini au nikuwatoa mayai kama uliyotuonyesha hapo
Nataka majike mawili yakufuga, au hawafugiki