Nauza kuku wa kienyeji mkoani Lindi

Nauza kuku wa kienyeji mkoani Lindi

Chui mnyama

Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
67
Reaction score
33
Habarini wakuu wa JamiiForums

Nimekuja katika jukwaa hili kuleta fursa yangu ya kuku. Nimefanikiwa kufuga kuku wengi sana sasa kama mnavyojua baada ya kufanikiiwa katika hatua ya kwanza sasa nataka kusafisha banda kwani kuku nilionao naona wamefikia idadi ya Malengo yangu.

Kwa wale wanaojihusisha na uuzaji wa kuku tuwasiliane tufanye biashara na ukiwa serious sana tunaweza kufanya biashara zaidi kwa maana zaidi yangu nina wafugaji wengine wenye mzigo wa kutosha.

Nipo mkoa wa Lindi.

Mawasiliano: 0716768545
 
Hope utapata sema Dar es salaam huku wanahitaji [emoji215] wengi wewe angalau buku na kitu hivi

USSR
 
Back
Top Bottom