Nauza kuku wa kienyeji na mayai

Nauza kuku wa kienyeji na mayai

Mbepo yamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
1,262
Reaction score
1,773
Wakuu heshima kwenu
nina kuku wa kienyeji wa kisukuma kutoka kirengezi na kongwa morogoro. ni wakubwa sana. napatikana sinza mori, ntakuletea mahali ulipo kwa dar. Pia napokea oda ya mayai ya kienyeji. bei ni 12000 kwa tray. 0654047387
 
Kwa wanaohitaji mayai napokea oda ya kuanzia jumapili ijayo baada ya hii ya keshokutwa.
 
16000 kwa wenye 3kgs na kushuka. wapo hadi wa 8000 mkuu.
 
Nashukuru mlioniunga mkono kwa kununua kuku wangu. natazamia juma lijalo kuja nao tena wengine na ikiwezekana wakubwa kuliko wa awamu hii.
karibuni kwa watakao hitaji namba ni hiyo juu, nitafute kwa hapa dar ntakufikishia mahali ulipo.
mbarikiwe.
 
Mkuu hongera kwa biashara nzuri...mimi nipo moro na ni Mfugaji wa kuku..ningependa kupata hiyo mbegu ya kisukuma ila mitetea..kuanzia kama 10 hivi hasa hao wa 8000
 
Back
Top Bottom