Wakuu heshima kwenu
nina kuku wa kienyeji wa kisukuma kutoka kirengezi na kongwa morogoro. ni wakubwa sana. napatikana sinza mori, ntakuletea mahali ulipo kwa dar. Pia napokea oda ya mayai ya kienyeji. bei ni 12000 kwa tray. 0654047387
Nashukuru mlioniunga mkono kwa kununua kuku wangu. natazamia juma lijalo kuja nao tena wengine na ikiwezekana wakubwa kuliko wa awamu hii.
karibuni kwa watakao hitaji namba ni hiyo juu, nitafute kwa hapa dar ntakufikishia mahali ulipo.
mbarikiwe.
Mkuu hongera kwa biashara nzuri...mimi nipo moro na ni Mfugaji wa kuku..ningependa kupata hiyo mbegu ya kisukuma ila mitetea..kuanzia kama 10 hivi hasa hao wa 8000