Nauza kuku wa kienyeji pure kabisa kwa wafugaji

EL ELYON

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
1,675
Reaction score
2,117
Napatikana kibaha kuku wamepata chanjo zote muhimu bei kuku Wa miezi 2-3 ni shs 10,000 kuku Wa miezi 4-5 ni shs 15,000 anataga huyu jogoo 20,000 narudia nnao kuku pure kabisa hakuna kroiler wala layers hapa ukitaka nakuletea mpaka ulipo nauli utarudisha na nnatoa ushirikiano kwa mfugaji mpya ukitaka hata 20 unapata
karibuni sana
0787 429 104
 
Ungetuwekea na picha za hayo makundi matatu unayouza ili kuvutia zaidi wateja wako na pia tujifunze maana sisi wengine kuku wetu wanachukua miezi mingi hadi wanapoingia sokoni tofauti na hao wa kwako.
 
hata wng ni miezi mingi BT huwa naenda vjijini kukusanya Mayai pure natotolesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…