Nauza Kuku wa kienyeji wakubwa

Ab5

Senior Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
151
Reaction score
99
Habari wadau
Uzi maalumu kwaajili ya kuniungisha Nauza kuku wa kienyeji wakubwa ambao wanataga
Bei ya Kuku1 ni 16000/=
Napatikana msasani dar es salaam
Na pia ofisin kwangu Kimara Temboni
Hapa nauza amabao wameshandaliwa na kuhifadhiwa kwenye parkage maalumu
Bei zao zipo tofaut tofaut
Ni cheki kwa 0716323145 kwa maelezo zaidi
 
All the best mkuu.. komaa na advertisment upige pesa...biashara ni matangazo
 
kuku wako wazuri sana mkuu mayai nitapata kwa ajili ya kuangua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…