Nauza kuku wa kienyeji

kitali

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
6,402
Reaction score
9,733
nauza kuku wa kienyeji nipo dar miez miwili mpaka 4.5 .
unaweza kuja in box kama unawahitaji
 
weka picha mkuu, naitaji wa 5 kwa 13, umejoin jf Apr 6, 2012 huwezi nishawishi kwamba huwezi weka picha
mi jf naisoma tangu ikiwa jambo radio ila nilikuwa cjawah kuweka post nasomaga tu na kuchangia mada so vitu vingi cfuatilii kwakweli nisikudanganye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…