Watakuja tu mkuu, tuwe na subra.Inaudhi sana hii unaleta biashara halafu watu wanaishia ku view tu dah[emoji53]
Ila ungeletwa umbeya wa harmonize page zingefika 15 kucomment tu upuuzi ndani ya lisaa!
2.5kg na zaidi.Naomba kujua jogoo wa elfu 20 anakilo ngapi?
2.5kg na zaidi.
🤣🤣Inaudhi sana hii unaleta biashara halafu watu wanaishia ku view tu dah😕
Ila ungeletwa umbeya wa harmonize page zingefika 15 kucomment tu upuuzi ndani ya lisaa!