Nauza kuku wa mayai (layers)

Nauza kuku wa mayai (layers)

Joined
Sep 11, 2016
Posts
31
Reaction score
37
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu.
Nauza kuku wa mayai wapo 540 (mia tano arobaini), bado wiki mbili waanze kutaga. Nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3.

SABABU:
Hii ni baada ya kukosa hela ya kuendelea kuwahudumia baada ya kusimamishwa kazi.

LOCATION: DODOMA
 
Pole sana ukikosa mnunuzi nenda fb Kuna group linaitwa ufugaji wa kuku,changamoto na masoko utapata wateja wana hadi group la whatsup na telegram channel mm napataga wateja wa kuku kule
 
Back
Top Bottom