Nauza kuku wa nyama (broilers) wenye uzito wastani kg 1.5 Tabata, bei 5500

kifungamimba

Member
Joined
Oct 13, 2010
Posts
18
Reaction score
11
Nauza kuku wa nyama ( broilers)
Wapo 200,
Uzito wastani kg 1.5,
Nipo Tabata, Dar es Salaam
Bei 5500

Mawasiliano: tigo : 0712 260 994
voda: 0764 177 512
 
ni tabata ipi.. kimanga, kisukulu, segerea, kinyerezi au bonyokwa
hii bei ni ya 5500 ni kwa jumla au rejareja...
 
ili kuepusha kukaa nao hao kuku uza kwa 4800 waishe haraka maana wanakula sana ninasema hivyo kwani mi ninao na najua gharama ya kuwalisha....amka asubuhi sana hapo stand kimanga kuna wale jamaa wanapita na suzuki carry au wale wenye matenga kwenye pikipiki wananunua hao kuku kwa bei hiyo niliyokuambia.....kuwa makini wakati wa kuwauza maana hawa jamaa sio waaminifu sana.....
inaonekana kama wewe ni jirani yangu kimanga sehemu gani
 
Naitaji ila 5000
 
Back
Top Bottom