ili kuepusha kukaa nao hao kuku uza kwa 4800 waishe haraka maana wanakula sana ninasema hivyo kwani mi ninao na najua gharama ya kuwalisha....amka asubuhi sana hapo stand kimanga kuna wale jamaa wanapita na suzuki carry au wale wenye matenga kwenye pikipiki wananunua hao kuku kwa bei hiyo niliyokuambia.....kuwa makini wakati wa kuwauza maana hawa jamaa sio waaminifu sana.....
inaonekana kama wewe ni jirani yangu kimanga sehemu gani