Nauza kuku wa nyama waliochinjwa

Nauza kuku wa nyama waliochinjwa

Rauya

New Member
Joined
Jun 25, 2009
Posts
2
Reaction score
0
Nauza kuku wa nyama waliochinjwa na kuhifadhiwa vizuri kabisa kwenye deep freezer. Kuku hao wana uzito wa kati ya 1.2-1.3 kg. Bei kwa kila kuku ni Tshs 4,800.00. Napatikana Jet Rumo simu na.0715-266451. Karibuni sana.
 
Je kuku wako wanapatikana wakati wote, je nikihitaji ninunue waliochinjwa siku hiyohiyo nitapata???
 
Back
Top Bottom