Nauza kuku wa nyama

Nauza kuku wa nyama

mchakachuaji192

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
366
Reaction score
68
Wadau kama kuna mtu au hoteli inahitaji kuku wa nyama tuwasiliane ninao kuku 600, wapo dar, kwa maelezo zaidi nicheki kwa namba +255655393035
 
wadau kama kuna mtu au hoteli inahitaji kuku wa nyama tuwasiliane ninao kuku 600, wapo dar, kwa maelezo zaidi nicheki kwa namba +255655393035

MWENYEZI MUNGU akusaidie upate wateja haraka iwezekanavyo.pia weka uzito wa kuku pamoja na bei..
 
Mkuu mtu anaweza kununua hata m1 kwa ajili ya nyama choma au ni kwa hotel? Weka kilo hili nikutafutie soko kubwa,kuku wanyama ndo hao weupe wanaofugwa kwenye mabanda na mataataaa
 
Wadau kama kuna mtu au hoteli inahitaji kuku wa nyama tuwasiliane ninao kuku 600, wapo dar, kwa maelezo zaidi nicheki kwa namba +255655393035
mchakachuaji192 mkuu mimi naogopa jina lako hili, naogopa kuchakachuliwa. kuna msemo wa kihaya unasema "eibara lita nyinalyo" ukiwa una maanisha "jina linaweza kumharibia mwenye nalo"
 
Mkuu mtu anaweza kununua hata m1 kwa ajili ya nyama choma au ni kwa hotel? Weka kilo hili nikutafutie soko kubwa,kuku wanyama ndo hao weupe wanaofugwa kwenye mabanda na mataataaa
King Kong mmoja naweza kuuza bt si kwa bei hiyo cozi hiyoni bei ya jumla
 
mchakachuaji192 mkuu mimi naogopa jina lako hili, naogopa kuchakachuliwa. kuna msemo wa kihaya unasema "eibara lita nyinalyo" ukiwa una maanisha "jina linaweza kumharibia mwenye nalo"

Mkubwa kuna vitu vya kuchakachua mwenzangu sio kila kitu ni uchakachuaji tu, have faith on me
 
Back
Top Bottom