M meenah90 Member Joined Jan 25, 2023 Posts 33 Reaction score 16 Sep 5, 2024 #1 Karibu nikuuzie kuku wa kimalawi 20 wanamiezi 2 na wiki 2 chanjo wamepata kila kuku m1 elfu 15 ni wakubwa nipo tabata mawenzi kwa mawasiliano zaidi nipigie no 0718343299View attachment 3087734
Karibu nikuuzie kuku wa kimalawi 20 wanamiezi 2 na wiki 2 chanjo wamepata kila kuku m1 elfu 15 ni wakubwa nipo tabata mawenzi kwa mawasiliano zaidi nipigie no 0718343299View attachment 3087734
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,300 Reaction score 1,969 Sep 5, 2024 #2 Kwa zindiko au uganga hao wazuri sana,maana nyeusi yake imekolea vizuri.
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Sep 5, 2024 #3 Makorokoro Bondeni said: Kwa zindiko au uganga hao wazuri sana,maana nyeusi yake imekolea vizuri. Click to expand... Hawa ni chotara waganga hawawataki😂😂😂 Wanahitaji kienyeji pure
Makorokoro Bondeni said: Kwa zindiko au uganga hao wazuri sana,maana nyeusi yake imekolea vizuri. Click to expand... Hawa ni chotara waganga hawawataki😂😂😂 Wanahitaji kienyeji pure
Kinumbo JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 3,039 Reaction score 5,560 Sep 5, 2024 #4 Hawa ndio wale nyama yao nyeusi tiii?