Nauza laboratory reagents pamoja na laboratory equipments kwa shule za sekondari, vyuo vikuu, taasisi za afya nk

Nauza laboratory reagents pamoja na laboratory equipments kwa shule za sekondari, vyuo vikuu, taasisi za afya nk

malindo

Senior Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
131
Reaction score
89
Habar wana Jf;
Kama kichwa habari kinavyosema nauza laboratory reagents pamoja na laboratory equipments kwa shule za sekondari, vyuo vikuu, taasisi za afya,mashirika ya kiserikali pamoja na yasiyo ya kiserikali na pamoja na viwandani. Pia tunatoa ushauri kwa matumizi bora ya vifaa na reagents.

Pia tunashughulika na utengenezaji wa maabara za shule, vyuo na taasisi mbali mbali. Gharama zetu ni nafuu na nzuri.
Kwa mawasiliano 0745 386264 au
Fika katika ofisi zetu kariakoo mtaa wa Jangwani
1.SODIUM THIOSULPHATE
2.POTTASIUM IODIDE
3.SODIUM HYDROXIDE
4.SODIUM CHLORIDE
5.SODIUM SULPHATE
6.SODIUM CARBONATE
7.SODIUM BICARBONATE
8.SODIUM NITRATE
9.SODIUM HYDROSULPHATE
10.AMMONIUM CHLORIDE
11.AMMONIUM SULPHATE
12.AMMONIUM ACETATE
13.AMMONIUM FLORIDE
14.FERROUS SULPHATE
15.FERROUS CHLORIDE
16FERROUS SULPHIDE
17.FERRIC CHLORIDE
18.POTTASIUM SULPHATE
19.POTTASIUM CARBONATE
20.POTTASIUM HYDROXIDE
21.POTTASIUM FERRYCYANUDE
22.POTTASIUM FERROCYANIDE
23.METHANOL 2.5lt
24.ETHANOL 2.5LT
25.IODINE SOLUTION
26.BENEDICT.SOLUTIO
27.SUDAN III SOLUTION
28.LIME WATER
29.P.O.P SOLUTION
30.ACETONE
31.DIETHLY ETHER
32.CHLOROFORM
33.TOULENE
34.GLYCELINE
35.ISO PROPANOL
36.HYDROGEN PEROXIDE
37.FORMALIN....etc
KARIBU KWA BIASHARA NAPATIKANA KARIAKOO KWA NAMBA 0745 386264,KWA MAHITAJ YA SHULE,VIWANDANI,MAHOSPITALINI,VYUONI NA KWENYE TAASISI ZOTE...BAADAE NTALETA MAJINA YA VIFAA VYA MAABARA
 
Habari, naomba bei pamoja Na ujazo/uzito wa reagents zifuatazo Na pia nijulishe Kama reagents zako ni AR grade
1. Acetone
2. Ammonium acetate
3. Sodium hydroxide
4. Hydrogen peroxide
5. Ethanol
6. N-hexane
7. Filter paper whatsman No. 5 or 6
8. Sulphuric acid

Nasubiri majibu yako
Asante
 
1. Acetone= 45,000@2.5lt
2. Ammonium acetate=35,000@500gm
3. Sodium hydroxide=30,000@500gm
4. Hydrogen peroxide=40,000@2.5lt
5. Ethanol=45,000@2.5lt
6. N-hexane S/O
7. Filter paper whatsman No. 5 or 6 S/O
8. Sulphuric acid =45,000@2.5lt
 
Habar zenu wana JF..

Kwa Wakuu wa shule za sekondari tunapoelekea kujiandaa na mtihani wa Taifa wa kidato cha Nne.

Napenda kuwatangazia juu ya punguzo la bei kwa vifaa vya maabara pamoja na kemikali za shule kwaajil ya maandaliz ya kufanya majaribio kwa vitendo yaan(practical) katika kipind hiki cha maandaliz ya mtihani.

Lakin pia km utahitaji Price List ya vifaa pamoja na kemikali za shule unaweza kupatiwa kwa njia ya email au mitandao ya kijamii

Karibu sana napatikana kwa namba 0717 550291 tupo kariakoo,Dar es salaam
IMG_8269.JPG
IMG_8276.JPG
IMG_8259.JPG
IMG_8257.JPG
IMG_8290.JPG
 
Habar wana JF...

Kwa Wakuu wa shule za sekondari pamoja na lab technician tunapoeleke na maandaliz ya mtihani wa Taifa wa kidato cha Nne.

Tunapenda kuwatangazia punguzo la bei ya vifaa vya maabara pamoja na kemikali za mashuleni ili kupata mda mzur wa kuandaa na kuapanga majaribio kwa vitendo yaani(practical)

Pia km utahitaji Price List ya vifaa vya maabara pamoja na kemikali za shule unaweza kutumia kwa email au mitandao mingne ya kijamii

Karibu mni sana unaweza kunipata kwa namba 0717 550291 tupo kariakoo,Dar es salaam
IMG_8283.JPG
IMG_8281.JPG
IMG_8277.JPG
IMG_8268.JPG
IMG_8258.JPG
 
Mi nina Silver nitrate 25g haijafunguliwa. nataka nikuuzie nusu ya bei yake halafu wewe utaiuza.
ila akijitokeza mteja mwingine ntaiuzia hapa hapa kwenye huu uzi wako.
Habar wana JF...

Kwa Wakuu wa shule za sekondari pamoja na lab technician tunapoeleke na maandaliz ya mtihani wa Taifa wa kidato cha Nne.

Tunapenda kuwatangazia punguzo la bei ya vifaa vya maabara pamoja na kemikali za mashuleni ili kupata mda mzur wa kuandaa na kuapanga majaribio kwa vitendo yaani(practical)

Pia km utahitaji Price List ya vifaa vya maabara pamoja na kemikali za shule unaweza kutumia kwa email au mitandao mingne ya kijamii

Karibu mni sana unaweza kunipata kwa namba 0717 550291 tupo kariakoo,Dar es salaamView attachment 1174422View attachment 1174423View attachment 1174424View attachment 1174425View attachment 1174426
 
WAMEKUSIKIA

Bro kiukwl sikujui! Ila nahis kabisa unaweza kunisaidia km una marafik ambao ni wakuu au lab technician katika kupata order.....km unaweza pls embu nisaidie
 
Bro kiukwl sikujui! Ila nahis kabisa unaweza kunisaidia km una marafik ambao ni wakuu au lab technician katika kupata order.....km unaweza pls embu nisaidie
JARIBU KWENDA NA MAHOSPITALINI PIA KAMA UNA VIFAA BORA VYA MAABARA
 
Back
Top Bottom