Nauza laini za Uwakala wa mitandao yote

Nauza laini za Uwakala wa mitandao yote

Donray

Member
Joined
Aug 25, 2019
Posts
6
Reaction score
5
Niko mkoa wa Singida nauza laini zote tano za uwakala na zimesajiliwa kwa TIN number na leseni ni ya biasharaa ya nyumbani.

Na pia Nina mashine ya CRDB. Kwa atakae itaka labda awe ndani ya Singida ila nje ya singida itabidi awe na connection itakayo msaidia kuihamisha mkoa.

Bei maelewano.

Number 0744668636
Note. Lain nauza zote kwa pamoja ila mashine inajitegemea.
 
Naweza nikazibadilishia usajili ,, kama jibu ni ndio nicheki Dm tufanye biashara mkuu.
Nina leseni pia nina Tin
 
Bado una laini za uwakala? nahitaji laini za tigopesa,M-pesa na hallotel money..
 
Niko mkoa wa Singida nauza laini zote tano za uwakala na zimesajiliwa kwa TIN number na leseni ni ya biasharaa ya nyumbani.

Na pia Nina mashine ya CRDB. Kwa atakae itaka labda awe ndani ya Singida ila nje ya singida itabidi awe na connection itakayo msaidia kuihamisha mkoa.

Bei maelewano.

Number 0744668636
Note. Lain nauza zote kwa pamoja ila mashine inajitegemea.
Hyo crdb Bei Gani mkuu
 
Back
Top Bottom