Naweza nikazibadilishia usajili ,, kama jibu ni ndio nicheki Dm tufanye biashara mkuu.Niko mkoa wa Singida nauza laini zote tano za uwakala na zimesajiliwa kwa TIN number na leseni ni ya biasharaa ya nyumbani.
Na pia Nina mashine ya CRDB. Kwa atakae itaka labda awe ndani ya Singida ila nje ya singida itabidi awe na connection itakayo msaidia kuihamisha mkoa.
Bei maelewano.
Number 0744668636
Note. Lain nauza zote kwa pamoja ila mashine inajitegemea.
Hyo crdb Bei Gani mkuuNiko mkoa wa Singida nauza laini zote tano za uwakala na zimesajiliwa kwa TIN number na leseni ni ya biasharaa ya nyumbani.