INAUZWA Nauza laini za uwakala.

INAUZWA Nauza laini za uwakala.

baba glory

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
292
Reaction score
213
Habari wakuu,
Nauza laini za uwakala, ziko mbili ya tigopesa na airtel money. Zote naziuza kwa Tshs.300,000/= ama kwa moja moja tigopesa nauza Tshs.180,000/ na airtel money nauza Tshs.120,000/= pia kama unachukua zote nakupa na simu ya samsung ya laini 2 kwa ajili ya kuanzia biashara.
Maongezi yapo.
Napatikana Dar es Salaam, namba yangu 0787 745 005.
 
Zinakuwa na jina lako au unaniwekea Jina langu kabisa?
 
Je utanipa copy yako ya tin number Ili niitumie nitakapokuwa Na tatizo Na hiyo till unayouza. Vipi till zina majina yako mwenyewe au ya mtu mwingine
 
Usijali ukitaka copy ya TIN nakupa pasi na shida
 
Shukrani, je gharama ya kufungua leseni yangu binafsi? Lengo langu nikifungua bishara nitumie majina yangu ili kuondoa usumbufu kwangu na kwako...
Inategemea unataka leseni ya nini ila kama ni duka la reja reja ni Tshs.70,000/=
 
Me ngoja niwasaidie kwa anayetaka kununua. Majina yaliyopo kwenye till siyo issue kubwa,kwa sababu hata huyo anayeuza inawezekana alinunua toka kwa mtu mwingine. Kitu cha muhimu ukitaka kununua till,hakikisha mnaenda kwa wakala mkuu wa hiyo till. Wakala mkuu ndo kila kitu..hata ikipotea,km ulienda hapo wakati wa kuinunua,wakala mkuu atai-swap. Na itakurahisishia hata ukitaka kubadilisha jina ni fasta tu. Halafu kwa Airtel money,hawabadilishi majina labda utengenezewe till mpya!!

Mwisho:- Me pia nnazo till za tigo na Voda. Bei maelewano,ila mm siuzi hiyo bei km ya jamaa! Bei zangu me ni juu kidogo..!!
 
Juu kidogo ni sh ngapi? Hata 180,001 ni juu kidogo
 
Back
Top Bottom