baba glory
JF-Expert Member
- Jan 22, 2016
- 292
- 213
Zinakuwa na jina lako au unaniwekea Jina langu kabisa?Habari wakuu,
Nauza laini za uwakala, ziko mbili ya tigopesa na airtel money. Zote naziuza kwa Tshs.300,000/= ama kwa moja moja tigopesa nauza Tshs.180,000/ na airtel money nauza Tshs.120,000/= pia kama unachukua zote nakupa na simu ya samsung ya laini 2 kwa ajili ya kuanzia biashara.
Maongezi yapo.
Napatikana Dar es Salaam, namba yangu 0787 745 005.
Kwa jina langu kaka ukitaka jina lako maana mpaka uwe na TIN,LESENI ya biashara.Zinakuwa na jina lako au unaniwekea Jina langu kabisa?
Gharama ya kubadilisha inaweza kuwa kiasi gani?Kwa jina langu kaka ukitaka jina lako maana mpaka uwe na TIN,LESENI ya biashara.
Usijali ukitaka copy ya TIN nakupa pasi na shidaJe utanipa copy yako ya tin number Ili niitumie nitakapokuwa Na tatizo Na hiyo till unayouza. Vipi till zina majina yako mwenyewe au ya mtu mwingine
Ni bure kabisa kakaGharama ya kubadilisha inaweza kuwa kiasi gani?
Shukrani, je gharama ya kufungua leseni yangu binafsi? Lengo langu nikifungua bishara nitumie majina yangu ili kuondoa usumbufu kwangu na kwako...Ni bure kabisa kaka
Inategemea unataka leseni ya nini ila kama ni duka la reja reja ni Tshs.70,000/=Shukrani, je gharama ya kufungua leseni yangu binafsi? Lengo langu nikifungua bishara nitumie majina yangu ili kuondoa usumbufu kwangu na kwako...
Leseni ya biashara ya tigo/M Pesa peke yake?Inategemea unataka leseni ya nini ila kama ni duka la reja reja ni Tshs.70,000/=
Kwa kweli sijajua ukikata hiyo watakulima hela ngapiLeseni ya biashara ya tigo/M Pesa peke yake?
Juu kidogo ni sh ngapi? Hata 180,001 ni juu kidogoMe ngoja niwasaidie kwa anayetaka kununua. Majina yaliyopo kwenye till siyo issue kubwa,kwa sababu hata huyo anayeuza inawezekana alinunua toka kwa mtu mwingine. Kitu cha muhimu ukitaka kununua till,hakikisha mnaenda kwa wakala mkuu wa hiyo till. Wakala mkuu ndo kila kitu..hata ikipotea,km ulienda hapo wakati wa kuinunua,wakala mkuu atai-swap. Na itakurahisishia hata ukitaka kubadilisha jina ni fasta tu. Halafu kwa Airtel money,hawabadilishi majina labda utengenezewe till mpya!!
Mwisho:- Me pia nnazo till za tigo na Voda. Bei maelewano,ila mm siuzi hiyo bei km ya jamaa! Bei zangu me ni juu kidogo..!!