Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine.

Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine.

ONILE ENTERPRISES

New Member
Joined
Dec 3, 2023
Posts
2
Reaction score
4
Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine

Laini za uwakala zote nne nauza kwa 300,000
Mashine ya selcom nauza kwa 200,000.(Inafanya kazi na ia hali nzuri)
Laini zote zimesajiliwa kwa jina moja la biashara,hivyo ni rahis kwa wewe kwenda kuzibadilisha.

Napatikana Goba/Madale
kwa wahitaji naomba tuwasiliane kwa wasap tu namba 0768 712111
 
Mchakato wa kubadilisha unagharimu kiasi gani na muda gani? Na je wewe upo tayari kuufanya huo mchakato ukiwa na full backup support ya mnunuzi?
 
Mchakato wa kubadilisha unagharimu kiasi gani na muda gani? Na je wewe upo tayari kuufanya huo mchakato ukiwa na full backup support ya mnunuzi?
Swali zuri, atakimbia hageuki nyuma!
 
Hivi mpaka miaka hii watu bado wananunua line zenye majina ya watu?

Alafu hizo story za kubadilisha majina ni chai tu, ukishanunua hutamuona tena!
 
Back
Top Bottom