Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtelmoney na Halopesa

Jingalao

Senior Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
122
Reaction score
102
[emoji654] Laini hizi zina documents hivyo unaweza kubadili majina[emoji653]
Kwasasa imebaki laini ya Airtelmoney tu.
Bei ni Tsh70,000.
Napatikana Dar es Salaam.

Kwa anaehitaji weka namba hapa au PM nitakupigia ila uwe serious.

Namba yangu sitaweka kulingana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Karibuni
 
Bei ya laini zote ni Tsh550,000 fixed,napatikana Dar es Salaam.

Kwa anaehitaji weka namba hapa au PM nitakupigia ila uwe serious.

Namba yangu sitaweka kulingana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Karibuni
Mungu akakufanyie wepesi kwenye biashara yako. Ikawe yenye tija Na mafanikio
 
Brother siku hizi umehamia kwenye uchungaji?[emoji23]

Heshima yako mkuu
Nimechagua fungu lililo jema. Silaani, ninabariki tu.
Na wewe pia umebarikiwa. Utabarikiwa utokako, Na utabarikiwa uingiapo.
Atabarikiwa mkeo, watabarikiwa majirani zako.
Watabarikiwa watoto wako, pia watabarikiwa adui zako, Ila baraka zako nitakuwa ni nyingi mno machoni pa adui zako.
Uwe na Pasaka njema yenye Baraka tele.
 
Tigo Pesa kwa mwenye nayo ipo 120,000 Hapa ila iwe na documents zake coz staki tumia Jina lako..kama huna Valid documents za Laini Usintafute kwa mwenye nazo..Karibu pm Hata sasa ivi nakufata popote utakapokua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…