SOLD: nauza LAPTOP bei poa nna shida!!

SOLD: nauza LAPTOP bei poa nna shida!!

Chilai20

Senior Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
103
Reaction score
9
HP Compaq 6515b.
hdd 80gb.
ram 2gb.
procssa 1.8 ghz DUAL CORE (1.8x2= 3.6 GHZ)
wireless.

bei 350,000.
anaehitaji ani PM
 
duh 3.5 kubwa!!!! .....nahisi km huko serious
 
HP Compaq 6515b.
hdd 80gb.
ram 2gb.
procssa 1.8 ghz DUAL CORE (1.8x2= 3.6 GHZ)
wireless.

bei 350,000.
anaehitaji ani PM

Wakati mwingine mnafanya biashara ngumu kwa hizo pm mnazozitaka, hapa jirani yangu ameipenda hiyo machine sasa anataka number wewe unasema PM wakati yeye hayupo JF. Na mimi sina mda wa kuanza kumfuatilia yeye au kukaa jf mda wote kusubiri wewe ujibu.

Sent from my HTC Desire S using Tapatalk 2
 
Back
Top Bottom